Download mp3 Bensoul - Lucy (Official Music Video) SKIZA [DIAL *811*549#]
New song by Bensoul - Lucy (Official Music Video) SKIZA [DIAL *811*549#]Bensoul is a soulful singer-songwriter, multi-instrumentalist (Bass, Acoustic & Electric Guitar, Keys, Drums & Violin) and producer who is progressively building a niche as one of Kenya's top live acts. LUCY is his first single under Sol Generation Records, produced by Mutoriah and Mboks, mixed and mastered by Mboks. Directed by KG Brian and Rodney Wachira Creative director: Willis Austin Chimano Dancer/Model: Eunice Mwikali LUCY IS NOW AVAILABLE ON ALL MAJOR DIGITAL STORES WORLDWIDE: http://africori.to/lucy For more info: https://ift.tt/3aKcp4d https://ift.tt/39JkEMS https://twitter.com/bensoulmusic https://ift.tt/34b8DhQ https://twitter.com/solgeneration_ https://ift.tt/2JE9Kx1 #Lucy #Bensoul #SolGeneration LUCY LYRICS By Bensoul INTRO (Rooster crows) Mtoto mtoto mdogo Sol Generation!!! Mtoto mtoto mdogo mtoto yeah Amevaa ngolopa mangolopa ameva ngolopa Original ting (aaah) Here dis! Lucy, I love you lakini kama tuko wengi tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you lakini kama tuko wengi Don't force it, don't force it VERSE ONE Yo! Lucia hizo ni nini nasikia Ati kuna maboy wanajaribu kukukatia Na pia, kuna vile unawavutia Ulikuja na mimi wanataka kunigeuzia Lucia! Is there another man in your life Girl come tell me stop wasting my time Ukitaka penzi ni lazima udecide Ukitaka kwangu ni lazima uwe mine Lucia, kalongo longo yako ya uongo Unacheki wengi ama tukuite chongo Msichana mrembo unanichanganya ubongo wee (Shugaa) CHORUS Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you lakini kama tuko wengi Don't force it, don't force it VERSE TWO Niko na mipango (eeh) Kama una zako we ziweke kando (hmmm) Ju kila kitu nime order double! Nikipewa yangu unapewa yako (Oowkay) Wewe ndo mpango (Aaah)mashida zako zote weka kando (Eeh) Usijali baby mimi nitakuhandle Mimi ni kijana noma toka Eastlando (Ooowkay) Usininyime samosa ukitaka sose, nitakupa mpaka saucer Kwani kukupenda mi najua si makosa Na nikikupenda mi najua sijakosa Baby love usininyime samosa ukitaka sose nitakupa mpaka saucer Kwani Kukupenda mi najua si makosa Na nikikupenda mi najua sija (ahaaaa) CHORUS Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi tusilazimishe, tusilazimishe penzi Lucy, I love you Lakini kama tuko wengi Don't force, don't force BRIDGE Ati mtoto, mtoto mdogo mtoto, mtoto mdogo. Amevaa ngolopa, mangolopa amevaa ngolopa, mangolopa Mtoto, mtoto mdogo mtoto, mtoto mdogo amevaa ngolopa, mangolopa amevaa ngolopa (ahaaa) Lucy, I love you and I need your love but don't force it (yeeeah) …I love you lakini kama tuko wengi (ram dadam dam bum bum bum) ahaaa! Eh eh eeh eh eh eh…. Lucy, I love you Lakini kama tuko…. Ahaa! Don’t force it don’t force it. Eh eh eeh eh eh eh (Burudika burudika naburudika kidogo) Eh eh eeh eh eh! Uuuuuuuuuuuh… OUTRO Mtoto, mtoto mdogo mtoto, mtoto mdogo amevaa ngolopa, mangolopa amevaa ngolopa, mangolopa
Download all latest gengetone music songs
Comments
Post a Comment