Download mp3 Sauti Sol - Rhumba Japani ft. Kaskazini, Bensoul, Nviiri, Xenia, Okello Max & Nairobi Horns


New song by Sauti Sol - Rhumba Japani ft. Kaskazini, Bensoul, Nviiri, Xenia, Okello Max & Nairobi HornsNew album "Midnight Train" Stream/Download Album now: https://ift.tt/2XDkLXp Written by:Sauti Sol Co-written with Bensoul, Nviiri, Xenia Manaseh Producers: Sauti Sol, DTX, Mutoriah, Kagwe Mungai, Wuod Omollo, Piapod Jamie Guitars by Fancy Fingers Horns by Nairobi Horns Project Recording Engineer: Savara Mixed by Fancy Fingers Bass Guitar: Yvan Kwizera Master by Mike Manitshana Opening Vocals: Wuod Omollo Additional Sounds: Piapod Jamie Follow Sauti Sol: Facebook: https://ift.tt/3cJgFSp Instagram: https://ift.tt/2mRjRm5 Twitter: https://twitter.com/SautiSol RHUMBA JAPANI LYRICS Kuna Rhumba ya Juja Na ni ya maboy Ukisaka mitumba Enda Rhumba ya Toi Kuna Rhumba ya Kibich Utajua hujui Kuna Rhumba for all you niggas ila Rhumba Japani ndio Rhumba Kuna Rhumba ya state house iko chini ya maji Kuna Rhumba ya bunge Ya majambazi Ukileta ujinga Utalala ndani Kuna Rhumba for all you niggas lakini Rhumba Japani ndio Rhumba Hapa ni wapi, tume zungukwa na shisha na shashamani, mapochopocho na vinywaji mbali mbali, wengine wanatapika wakizirai Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha kipaparazi, Tumezungukwa na warembo geti kali, tunazitoka na style za kizamani Kuna Rhumba ya Westy Ya mabeshte Ya mashinani Sheki your waistii Rhumba ni nyepesi Isikue kesi Kuna Rhumba for all my niggas Ila Rhumba Japani ndio rhumba Kuna Rhumba Karura Ya kupanda miti Ukiwa Koinange Hakunaga risiti Rhumba Oyole Hio no ya mangwai All of my hoes and all of my niggas Rhumba Japani ndio Rhumba Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer kama chuani, Kuna mapedi mapoko pia mapinji, na wanaseti michele kwenye vinywaji Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja mahakamani, wapenzi wapigana mate hadharani, wengine wanatekana nyuma ya taxi Niitie Rhumba obunga Mano mar jothurwa Tokidwa bilo mbuta Iriyo manyatta Yawuoi orwaka akala To nyiwa ondiso avunja Kuna Rhumba for all your niggas Lakini Rhumba Japani ndio Rhumba Aaaaaaah Sol Generation you know Hii shit imeniweka zone, inatamba Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje kwa foleni, na raia wako ndani wajivinjari, wanazitoka na style ni za kiodi Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta utiaji, wakafungia wakubwa nje ya party, wakawachia ofisi wafanyikazi #SautiSol #RhumbaJapani #MidnightTrain
Download all latest gengetone music songs

Comments

Popular posts from this blog

Download mp3 Iggy Azalea - Kream ft. Tyga

Download mp3 Lady Leshurr - Quarantine Speech

Download mp3 Bensoul - Niombee (Official Music Video) For Skiza Dial *811*548#